Educational Tour on Environmental Conservation and Tourism Opportunities at Lake Manyara
Habari mpya za tourism Tanzania · maelezo ya Educational Tour on Environmental Conservation and Tour… · imesasishwa 11 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo
Muhtasari
- Na ARAPHA RUSHEKE – Mahakama, DodomaWatumishi wa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dodoma (IJC), tarehe 9 Agosti, 2026 walitembelea Hifadhi ya Taifa ya Lake Manyara kwa lengo la kujifunza, kujenga uelewa kuhusu uhifadhi wa.
- Akitoa elimu kwa watumishi hao, Afisa Utalii, Afande Clara Temu, alisema Hifadhi ya Taifa ya Lake Manyara ina ukubwa wa takribani kilomita za mraba 648.7, ambapo kilomita za mraba 386 ni eneo kavu huku sehemu nyingine.
- Joachim Tiganga (wa kwanza kushoto) akiwa na Jaji wa Mahakama Kuu, Mhe Suleiman Hassan mara baada ya kuwasili katika Hifadhi ya Lake Manyara.Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dodoma, Mhe Joachim Tiganga, (wa.
- Stanslaus Makendi na wa pili kulia Afisa Utalii wa Hifadhi ya Lake Manyara, Afande Crala Temu.Watumishi wa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dodoma wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili katika hifadhi hiyo.Jaji.
- Watumishi hao pia walielezwa kuwa Hifadhi ya Taifa ya Lake Manyara inatoa fursa za shughuli mbalimbali za utalii, zikiwemo walking safari, kuangalia machweo ya jua (sunset viewing), kupiga makasia, utalii wa ndege.