Discovery of High-Yield Cotton Seed Variety UKM08 by TARI
Habari mpya za kilimo Tanzania · maelezo ya Discovery of High-Yield Cotton Seed Variety UKM08 by TA… · imesasishwa 4 Aug 2026 · habari za kilimo · wakulima · mazao
Muhtasari
- Hayo yamebainishwa Agosti 2,2026 na Mtafiti kutoka TARI kituo cha Ukiriguru, Mwanjia Ngangambe kwenye Banda la taasisi hiyo katika maonesho ya Nanenane Kanda ya Ziwa Magharibi yanayoendelea katika uwanja wa Nyamhongoro.
- Kupitia kituo cha Ukiriguru kwa zao la pamba tumefanikiwa kugundua aina tano za mbegu bora ila kuna mbegu moja ya UKM08 ambayo ina mavuno ya kutosha kwani inavumilia magonjwa”, Amesema Aidha, amesema kupitia kitengo cha.