utaratibu wa kupeleka fedha za miradi ya maendeleo moja kwa moja katika taasisi za Serikali za ngazi za chini
Amesema Serikali imepanga kuchukua hatua zaidi katika eneo la ugatuzi wa madaraka kwa kuimarisha mifumo mbalimbali ya kiutendaji na usimamizi, hususan katika eneo la fedha, hatua inayolenga kuongeza ufanisi wa utekelezaji wa miradi na utoaji wa huduma kwa wananchi.