Deogratius Mafie Leaves Kagera Sugar to Join Pamba Jiji
Habari mpya za michezo Tanzania · maelezo ya Deogratius Mafie Leaves Kagera Sugar to Join Pamba Jiji · masasisho 2026 · imesasishwa 5 Aug 2026 · habari za michezo · mechi · matokeo
Muhtasari
- Akiweka sawa suala la usajili ndani ya klabu hiyo, Kaimu Mtendaji Mkuu wa Pamba Jiji, Ezekiel Ntibikeha, ameeleza kuwa usajili wao kwa msimu mpya wa 2026-2027 umekamilika kwa kiasi kikubwa na kilichobaki ni idara ya.
- Klabu ya Pamba Jiji ipo katika hatua za mwisho kabisa kukamilisha usajili wa mshambuliaji hatari, Deogratius Mafie, kufuatia uamuzi wake wa kuachana na kikosi cha Kagera Sugar alichokisaidia kupanda Ligi Kuu Bara kwa.
- Akizungumza na mtandao huu wa Soka la Bongo, Mafie amethibitisha kuwa mkataba wake na Kagera Sugar umefikia kikomo baada ya kumalizika kwa msimu na sasa yupo tayari kuanza changamoto mpya sehemu nyingine.
- Mazungumzo ya kuongeza mkataba mwingine wa kuichezea Kagera Sugar yalikuwepo, lakini nimeona huu ni muda sahihi wa kwenda sehemu nyingine,” alisema Mafie.
- Mafie anatarajiwa kuungana na nyota wengine wapya waliotua Pamba Jiji kuboresha kikosi hicho, akiwemo kipa Steve Ochieng (Shabana FC – Kenya), Erick Johola (Mashujaa FC), Nonyem Okorocha (Mlandege FC), Frank Ernest (KMC.