Decentralization of PSSSF Services through Digital Portal
Habari mpya za fedha Tanzania · maelezo ya Decentralization of PSSSF Services through Digital Port… · imesasishwa 5 Aug 2026 · habari za uchumi · pato la taifa · uwekezaji
Muhtasari
- Suleiman Misango, ameshangazwa na jinsi Mfumo wa PSSSF Portal, ulivyoweza kutoa taarifa za wanachama wa PSSSF kwa haraka tangu alipoanza ajira hadi hivi sasa. Ameyasema hayo, Agosti 4, 2026 wakati akitoa maoni yake.
- Ninaweza kusema mfumo huu ume decentralise huduma, na sio lazima huduma zifuatwe mahala pamoja bali zinapatikana popote kupitia PSSSF Portal, nimeona taarifa zangu tangu nimeanza ajira hadi hivi sasa, hongereni sana.".