Dkt. Seif amesema kaulimbiu ya mkutano huo, isemayo “Ugatuzi wa Madaraka katika Mamlaka za Serikali za Mitaa ni Nguzo Madhubuti ya Kufikia Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050,” inapaswa kuwa chachu kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa kuwekeza katika miradi yenye tija.

Mhe. Dkt. Seif amesisitiza kuwa ugatuzi wa madaraka ni nguzo ya Dira ya Taifa 2050, hivyo viongozi, watendaji, wadau wa maendeleo na wananchi wanapaswa kushirikiana kuimarisha utawala bora, uwajibikaji na matumizi sahihi ya rasilimali za umma ili kujenga Tanzania yenye uchumi imara na huduma bora za kijamii.