Mada zilizoorodheshwa
MICHEZO 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

Debate on Infantino's Leadership and Future in FIFA

Habari mpya za michezo Tanzania · maelezo ya Debate on Infantino's Leadership and Future in FIFA · imesasishwa 12 Aug 2026 · habari za michezo · mechi · matokeo

Muhtasari

  • HADI katikati ya Julai mwaka huu, Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, alionekana kuwa na uhakika mkubwa wa kuchaguliwa tena kuongoza taasisi hiyo kwa muhula wa nne katika uchaguzi utakaofanyika.
  • Wakati huo, karibu vyama vyote kati ya 210 vya soka wanachama wa FIFA FIFA vilikuwa vimempa baraka za kuwania muhula mwingine wa uongozi, huku kukiwa hakuna mpinzani aliyekuwa akionekana kuwa na uwezo wa kutikisa nafasi.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Debate on Infantino's Leadership and Future in FIFA

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.