Davidlevi Kindikwa's 40-Day Detention Without Court Appearance
Habari mpya za siasa Tanzania · maelezo ya Davidlevi Kindikwa's 40-Day Detention Without Court App… · imesasishwa 4 Aug 2026 · habari za siasa · serikali · sera
Muhtasari
- Dar es Salaam-Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 04, 2026, Wakili Kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, William Maduhu, ameeleza kuwa amefungua maombi rasmi Mahakama Kuu ya kutaka Davidlevi Kindikwa.
- Ndugu Kindikwa almaarufu kama kijana mzalendo alikamatwa na Jeshi la Polisi au na watu ambao waliojitambulisha kuwa ni Jeshi la polisi tarehe 25 ya mwezi wa sita mwaka huu wa 2026 akiwa eneo la Kerege CCM Wilaya ya.
- Baada ya kundi hilo kumvamia ndugu Kindikwa au kijana mzalendo na kutokomea naye kusikojulikana mpaka ilipofika tarehe 27 mwezi wa sita 2026, ndipo alipobaini kwamba yuko Kibaha mkoa wa Pwani na alikaa hapo kwa.
- Hii ni baada ya Kindikwa kushikiliwa kwa zaidi ya siku 40, ikiwemo siku kadhaa ambazo hakuna mtu yeyote aliyekuwa akifahamu alipo, au waliomchukua.
- Kindikwa au kijana mzalendo amekuwa chini ya mikono ya jeshi la polisi kwa takribani siku 40 sasa bila kupewa haki yake ya dhamana au kufikishwa mahakamani,” anaeleza zaidi wakili Maduhu William.