Indexed topics
JOBS CAREERS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Creation of 90 to 100 Jobs through Black Granite Processing

Latest Tanzania jobs careers news · Creation of 90 to 100 Jobs through Black Granite Proces… explained · updated Aug 4, 2026 · breaking news · latest updates · explained

TLDR

  • Amesema kampuni huzalisha wastani wa tani 270 za black granite kwa wiki, huku bidhaa zake zikisambazwa kupitia vituo vya mauzo vilivyopo Dodoma na Victoria, Kinondoni jijini Dar es Salaam, pamoja na mikoa mbalimbali.
  • Ameongeza kuwa CDICD ilianza shughuli zake mwaka 2014 na imeendelea kupanua shughuli za uchimbaji wa black granite katika maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Chamwino, kabla ya kuhamishia shughuli zake Manyemba, ambako.
  • Akizungumza jijini Dodoma kwenye Maonesho ya Nane Nane, Meneja wa CDICD, Shija Shimba, amesema kampuni hiyo imewekeza katika kiwanda cha kisasa cha uchakataji wa black granite kinachobadilisha mawe ghafi kuwa bidhaa.
  • Mbali na kuuza bidhaa zilizochakatwa nchini, kampuni pia husafirisha black granite blocks kwenda China na nchi nyingine kwa ajili ya uchakataji zaidi katika viwanda vya nchi hizo.

Latest news excerpts & sources: Creation of 90 to 100 Jobs through Black Granite Proces…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.