Maregesi said CRDB Bank Foundation’s goal is to ensure institutions serving women and youth have greater capacity to support them in joining the formal economy, expanding their businesses and accessing financial services more easily.
Lengo la CRDB Bank Foundation ni kuhakikisha taasisi zinazotoa huduma kwa wanawake na vijana zinakuwa na uwezo mkubwa zaidi wa kuwawezesha kuingia katika uchumi rasmi, kukuza biashara zao na kupata huduma za kifedha kwa urahisi.