Mada zilizoorodheshwa
UCHUMI 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

Concerns Over Rising Cost of Living and Crime in Brazil

Habari mpya za uchumi Tanzania · maelezo ya Concerns Over Rising Cost of Living and Crime in Brazil · imesasishwa 4 Aug 2026 · habari za uchumi · pato la taifa · uwekezaji

Muhtasari

  • RIO, Brazil RAIS wa Brazil, Luiz Inacio Lula da Silva, ameanza rasmi kampeni zake za kuwania muhula wa nne kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao wa Oktoba, 2026.
  • Julai, 2026, Serikali ya Marekani ilitangaza tozo kwa bidhaa za Brazil zinazoingia nchini humo, ikifanya hivyo mara mbili kwa nyakati tofauti.
  • Kupitia Workers’ Party (Chama cha Wafanyakazi), Lula mwenye umri wa miaka 80 alirejea madarakani mwaka 2023 baada ya kuiongoza Brazil kwa mihula miwili kuanzia mwaka 2003 hadi 2010.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Concerns Over Rising Cost of Living and Crime in Brazil

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.