Mada zilizoorodheshwa
MICHEZO 2 nukuu · 2 makala · 2 vyanzo

Concerns Over FIFA's Plan to Allow Private Investment in Major Tournaments

Habari mpya za michezo Tanzania · maelezo ya Concerns Over FIFA's Plan to Allow Private Investment i… · imesasishwa 4 Aug 2026 · habari za michezo · mechi · matokeo

Muhtasari

  • SHIRIKISHO la soka la Kimataifa, FIFA, limeanza rasmi mchakato wa kutathmini uwezekano wa kupanua Kombe la Dunia la wanaume kutoka timu 48 hadi 64, huku uamuzi wa awali ukitarajiwa kufikiwa ifikapo Agosti 14, kwa mujibu.
  • Ripoti kamili ya uchambuzi itawasilishwa Septemba 11, siku nane kabla ya tarehe ya mwisho iliyowekwa na Infantino kwa vyama wanachama 211 vya FIFA kutoa msimamo wao kuhusu mpango wa kuuza hisa za mashindano ya.
  • Hatua hiyo inakuja wakati Rais wa FIFA, Gianni Infantino, akikabiliwa na upinzani mkubwa dhidi ya mpango wake wa kuuza sehemu ya haki za mashindano makubwa ya FIFA kwa wawekezaji binafsi kupitia mpango unaokadiriwa kuwa.
  • Hata hivyo, wapinzani wa mpango huo wana wasiwasi kuwa hatua hiyo inaweza kubadilisha mfumo wa uendeshaji wa mashindano makubwa ya FIFA na kuipa nafasi kubwa sekta binafsi katika maamuzi ya kibiashara ya soka duniani.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Concerns Over FIFA's Plan to Allow Private Investment i…

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.