Completion of Water Project Benefiting Over 1,200 Residents in Mwiseni
Habari mpya za water sanitation Tanzania · maelezo ya Completion of Water Project Benefiting Over 1,200 Resid… · imesasishwa 9 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo
Muhtasari
- Mradi wa maji wenye thamani ya zaidi ya Sh98.5 milioni, umewaondolea hofu wakazi wa Kijiji cha Mwiseni, Halmashauri ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara, waliokuwa wakilazimika kuchota maji Ziwa Victoria huku wakikabiliwa na.
- Amesema zaidi ya watu 1,200 wa Kijiji cha Mwiseni na maeneo ya jirani watanufaika na mradi huo.