Completion of Preparations for the KAZI MPA Program to Enhance Youth Employment
Habari mpya za uchumi Tanzania · maelezo ya Completion of Preparations for the KAZI MPA Program to… · imesasishwa 11 Aug 2026 · habari za uchumi · pato la taifa · uwekezaji
Muhtasari
- Utekelezaji wa programu hiyo unatarajiwa kuwa sehemu muhimu ya jitihada za Serikali katika kutafsiri kwa vitendo malengo ya Dira ya Maendeleo ya Tanzania 2050, hususan katika kujenga uchumi wenye tija, jumuishi na.
- Katika kikao hicho, pande hizo zilijadili kwa kina maeneo muhimu ya utekelezaji wa KAZI MPA, huku zikisisitiza umuhimu wa programu hiyo katika kuchochea mageuzi ya kiuchumi, kuongeza uwekezaji na kuimarisha ushiriki wa.
- Kikao hicho ni hatua muhimu kuelekea kukamilisha maandalizi ya KAZI MPA na kuweka msingi wa utekelezaji wa programu inayolenga kuchochea shughuli za kiuchumi, kuongeza fursa za ajira kwa vijana na kuimarisha nafasi ya.