Completion of EACOP Oil Pumping Station PS3 Expected in September 2026
Habari mpya za nishati Tanzania · maelezo ya Completion of EACOP Oil Pumping Station PS3 Expected in… · masasisho 2026 · imesasishwa 8 Aug 2026 · habari za nishati · umeme
Muhtasari
- Kwa upande wake, Meneja wa Kituo cha Kusukuma Mafuta Ghafi Namba Tatu, Dmitry Malyshev, amesema ujenzi wa kituo hicho ulianza Aprili 2024 na ulitarajiwa kukamilika Julai 2026, lakini changamoto za upatikanaji na.
- KAGERA: Ujenzi wa Kituo cha Kusukuma Mafuta Ghafi Namba Tatu (PS3) cha Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP), kilichopo katika Kijiji cha Kikagate, Kata ya Mubunda, Wilaya ya Muleba mkoani Kagera.
- Amesema TPDC, inamiliki asilimia 15 ya hisa katika mradi huo, imepata uzoefu mkubwa kupitia utekelezaji wa EACOP, hususani katika ushirikiano kati ya Serikali na sekta binafsi katika kutekeleza miradi mikubwa ya.
- Mradi wa EACOP unamilikiwa na TotalEnergies yenye asilimia 62, TPDC asilimia 15, Uganda National Oil Company (UNOC) asilimia 15 na CNOOC Limited ya China yenye asilimia 8.