Nao wananchi wa Kitongoji cha Mwanubi wameishukuru Serikali kwa kuwafikishia huduma ya umeme katika kitongoji chao, wakieleza kuwa hatua hiyo itachochea shughuli za kiuchumi na kijamii na kuboresha maisha yao.
Wananchi wa Kitongoji cha Mwanubi wameishukuru Serikali kwa kuwafikishia huduma ya umeme katika kitongoji chao, wakieleza kuwa hatua hiyo itachochea shughuli za kiuchumi na kijamii na kuboresha maisha yao.