Stanley amesema katika kuongeza uzalishaji wa miwa, Kilombero Sugar inatarajia kushirikiana na wakulima wa nje ya mashamba ya kampuni ambao wanakadiriwa kuzalisha takribani tani milioni 1.5 za miwa, hatua inayotarajiwa kuwawezesha wakulima hao kupata zaidi ya shilingi bilioni 150.
Kilombero Sugar inatarajia kushirikiana na wakulima wa nje ya mashamba ya kampuni ambao wanakadiriwa kuzalisha takribani tani milioni 1.5 za miwa, hatua inayotarajiwa kuwawezesha wakulima hao kupata zaidi ya shilingi bilioni 150.
Stanley amesema katika kuongeza uzalishaji wa miwa, Kilombero Sugar inatarajia kushirikiana na wakulima wa nje ya mashamba ya kampuni ambao wanakadiriwa kuzalisha takribani tani milioni 1.5 za miwa, hatua inayotarajiwa kuwawezesha wakulima hao kupata zaidi ya shilingi bilioni 150, hivyo kuongeza kipato cha kaya na kuchochea shughuli za kiuchumi katika maeneo ya uzalishaji.