Collaboration Between TAKUKURU and Kigoma Court for Anti-Corruption Education
Habari mpya za law justice Tanzania · maelezo ya Collaboration Between TAKUKURU and Kigoma Court for Ant… · imesasishwa 11 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo
Muhtasari
- Rwizile aliyasema hayo tarehe 07 Agosti, 2026 kwenye ukumbi wa mikutano wa Mahakama Kuu Kigoma alipokuwa akifungua mafunzo ya siku moja yaliyolenga kuwajengea uelewa watumishi wa Mahakama hiyo kuhusu elimu ya kuzuia na.
- Aidha, aliwakumbusha watumishi hao kuwa TAKUKURU itaendelea kushirikiana kwa karibu na Mahakama Kuu Kigoma katika kutoa elimu endelevu na kuchukua hatua kali dhidi ya yoyote atakayebainika kujihusisha na vitendo vya.
- Yusuph Kasuka akitoa neno la shukrani kwa viongozi wa TAKUKURU Mkoa wa Kigoma kwa kukubali kutoa mafunzo kwa watumishi wa Mahakama juu ya athari za rushwa mahali pa-kazi.Naibu Mkuu wa TAKUKURU (M) Kigoma, Bw.
- Na AIDAN ROBERT, Mahakama-Kigoma Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Kigoma, Mhe.
- Naye Mtendaji wa Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Kigoma, Bw.