Mada zilizoorodheshwa
MENTAL HEALTH 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

Clementina Chalamila's Personal Experience with Vitiligo Stigma

Habari mpya za mental health Tanzania · maelezo ya Clementina Chalamila's Personal Experience with Vitilig… · imesasishwa 3 Aug 2026 · habari za afya · hospitali · afya ya umma

Muhtasari

  • DAR ES SALAAM: MWANZILISHI wa Taasisi ya Beyond Skin Initiative, Clementina Chalamila, amesema bado kuna changamoto kubwa ya uelewa katika jamii kuhusu watu wenye vitiligo, hali inayochangia unyanyapaa na kuwakatisha.
  • Akizungumza katika mahojiano maalumu na Daily News Digital, Clementina amesema baadhi ya watu wenye vitiligo huamua kujificha kutokana na hofu ya kukumbana na mitazamo hasi na ubaguzi kutoka kwa jamii.
  • Katika kuthibitisha kuwa bado jamii ina mtazamo hasi kuhusu vitiligo, Clementina amesimulia kisa chake alipokataliwa na mwalimu mkuu wa shule aliyokuwa akisoma.
  • Akizungumzia chanzo cha vitiligo, Clementina amesema hali hiyo inaweza kusababishwa na sababu mbalimbali ikiwemo msongo wa mawazo, majeraha kwenye ngozi na kurithi kutoka kwenye familia.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Clementina Chalamila's Personal Experience with Vitilig…

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.