Mradi huo umekumbana na changamoto kadhaa, ikiwemo mvua za Desemba hadi Machi 2026 zilizoathiri baadhi ya kazi za udongo na tabaka za barabara, pamoja na kuchelewa kupatikana kwa baadhi ya wataalamu na kutokuwapo kwa mitambo ya kutosha.