Shujaa Path umeanzishwa kutokana na kutambua changamoto zinazowakabili wavulana, zikiwemo kuacha au kutoshiriki kikamilifu katika elimu, ukosefu wa malezi na ushauri wa kitaalamu, ukosefu wa ajira na fursa za kiuchumi, ushawishi hasi wa rika pamoja na ukosefu wa mazingira bora ya kukuza vipaji na uwezo wao.