Challenge Faced by Banyana Banyana Against Nigeria
Habari mpya za michezo Tanzania · maelezo ya Challenge Faced by Banyana Banyana Against Nigeria · imesasishwa 12 Aug 2026 · habari za michezo · mechi · matokeo
Muhtasari
- KOCHA mkuu wa timu ya taifa ya wanawake ya Afrika Kusini (Banyana Banyana), Desiree Ellis, amesema wanatambua ugumu na uzito wa kibarua kilichopo mbele yao wakati watakapokabiliana na miamba ya soka Afrika, Nigeria.