Mada zilizoorodheshwa
MICHEZO 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

Casemiro's Commitment to Help Messi Win More Trophies

Habari mpya za michezo Tanzania · maelezo ya Casemiro's Commitment to Help Messi Win More Trophies · imesasishwa 5 Aug 2026 · habari za michezo · mechi · matokeo

Muhtasari

  • Mkataba wake unadumu hadi mwisho wa msimu wa Ligi Kuu Marekani, MLS, wa 2027, huku ukiwa na chaguo la kuongezwa hadi Juni 2029.Akizungumza wakati wa utambulisho wake rasmi, Casemiro alisema alipokea ofa kutoka klabu.
  • Casemiro, mwenye umri wa miaka 34, alisaini mkataba na Inter Miami wiki iliyopita kama mchezaji huru baada ya kuondoka Manchester United mwishoni mwa msimu uliopita.
  • KIUNGO mkabaji wa Brazil, Casemiro, amesema alichagua kujiunga na Inter Miami kwa lengo la kumsaidia nyota wa Argentina, Lionel Messi, kuendelea kutwaa mataji zaidi katika kipindi cha mwisho cha maisha yake ya soka.
  • Kwangu, yeye ni mmoja wa wachezaji bora kabisa, kama si ‘Mungu’ wa soka.”Casemiro aliongeza kuwa katika kipindi chake cha miaka tisa akiwa Real Madrid Messi alipokuwa akiichezea Barcelona, alikuwa mpinzani aliyempa.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Casemiro's Commitment to Help Messi Win More Trophies

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.