Meya wa Manispaa ya Iringa, Ibrahim Ngwada, amefuta taarifa iliyokuwa imeeleza kuwa Halmashauri imekubaliana kuongeza ada katika shule za mchepuo wa Kiingereza, ikiwemo Shule ya Msingi Mapinduzi, kutoka Shilingi 300,000 hadi Shilingi 500,000 kwa mwaka.