Amewaomba mashabiki kuendelea kununua jezi rasmi za klabu ili kufanikisha mpango wa kumleta mchezaji mwenye viwango vya juu vya kimataifa kabla ya muda wa usajili kumalizika.
Kauli hiyo imeongeza hamasa kubwa mitandaoni na katika mitaa ya Msimbazi, huku mashabiki wakionekana kuifanya siku chache zilizobaki kuwa za mshikamano mkubwa kupitia ununuzi wa jezi ili kukamilisha usajili huo wa kishindo.