maonesho ya mwaka huu yanaongozwa na kaulimbiu isemayo, 'Tambua Soko; Ongeza Tija Kutekeleza Dira 2050,' ambayo inawahimiza Watanzania kuzalisha kwa kuzingatia mahitaji ya soko.
Amesema kupitia taasisi zake, ikiwemo SUMA JKT, jeshi hilo limekuwa likitoa elimu kuhusu matumizi sahihi ya teknolojia katika kilimo, ufugaji na uvuvi, kwa lengo la kuongeza tija na kuimarisha uzalishaji wa ndani.
.jpg)