Call to Action for Farmers to Utilize TARI Research Technologies to Increase Agricultural Productivity
Habari mpya za kilimo Tanzania · maelezo ya Call to Action for Farmers to Utilize TARI Research Tec… · imesasishwa 5 Aug 2026 · habari za kilimo · wakulima · mazao
Muhtasari
- Waziri wa Kilimo Mhe.Daniel Chongolo (Mb) leo tarehe 02 Agosti 2026,ameongoza mamia ya washiriki katika Marathon ya Maadhimisho ya Miaka 10 ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Katika Viwanja vya Dkt.Samweli.
- Chongolo amesema katika kipindi cha miaka 10 tangu kuanzishwa kwake, TARI imeendelea kuwa mhimili muhimu wa maendeleo ya sekta ya kilimo kupitia tafiti na teknolojia zilizoongeza uzalishaji, kuimarisha usalama wa.