Dk. Kakumbi amewataka wanaume kuondoa hofu ya kufanyiwa vipimo na badala yake kutafuta huduma za kitabibu mapema ili kubaini chanzo cha tatizo na kuanza matibabu stahiki.
Ametoa wito kwa wanaume wenye changamoto zinazohitaji tathmini ya kitaalamu kujitokeza katika vituo vya afya ili kupata ushauri na matibabu stahiki mapema, badala ya kuendelea kuishi na tatizo bila msaada wa kitabibu.