Call for Improved Road Infrastructure to Kyakailabwa Bus Stand
Habari mpya za infrastructure Tanzania · maelezo ya Call for Improved Road Infrastructure to Kyakailabwa Bu… · imesasishwa 4 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo
Muhtasari
- Katika ziara hiyo, Waziri amekagua miradi mitatu yenye thamani ya zaidi ya Sh bilioni 23.8, ikiwemo ujenzi wa Stendi ya Mabasi ya Kyakailabwa, Soko Kuu la Bukoba pamoja na ofisi mpya za Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba.
- Akitoa taarifa ya utekelezaji wa miradi hiyo, Mhandisi wa mradi huo, Mnyara Mwambungu, amesema ujenzi wa Stendi ya Mabasi ya Kyakailabwa umefikia asilimia 10 ya utekelezaji.