Kwa upande wao, wafanyabiashara wameipongeza TRA kwa kutenga siku ya Alhamisi kwa viongozi kusikiliza changamoto za walipakodi moja kwa moja, huku wakisifu ukaribu uliopo sasa baina ya TRA na walipakodi.
wafanyabiashara wameipongeza TRA kwa kutenga siku ya Alhamisi kwa viongozi kusikiliza changamoto za walipakodi moja kwa moja.