Mada zilizoorodheshwa
CELEBRITIES 2 nukuu · 2 makala · 1 vyanzo

Burglary Incident at Kim Kardashian's Hidden Hills Home

Habari mpya za celebrities Tanzania · maelezo ya Burglary Incident at Kim Kardashian's Hidden Hills Home · imesasishwa 11 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo

Muhtasari

  • Nyumba hiyo ya kifahari iliyopo Hidden Hills imewahi kuripotiwa kuwa na thamani ya takribani dola milioni 60 za Marekani.
  • Nyota wa Marekani Kim Kardashian amekumbwa na tukio la uvamizi katika moja ya nyumba zake zilizopo eneo la Hidden Hills, Los Angeles, ambapo mwanaume mwenye umri wa miaka 27 amekamatwa kwa tuhuma za kuhusika na tukio.
  • Kardashian aliinunua pamoja na aliyekuwa mume wake, Kanye West, mwaka 2014, kabla ya baadaye kubaki na umiliki wa mali hiyo baada ya talaka yao.
  • Tukio hilo linarejesha kumbukumbu ya tukio jingine kubwa la kiusalama lililompata Kardashian mwaka 2016, alipovamiwa kwa kutumia silaha akiwa Paris, Ufaransa, na kuibiwa vito vya thamani.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Burglary Incident at Kim Kardashian's Hidden Hills Home

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.