Biotechnology Centre Project Proposed by UDOM
Habari mpya za sayansi Tanzania · maelezo ya Biotechnology Centre Project Proposed by UDOM · imesasishwa 8 Aug 2026 · habari za teknolojia · uvumbuzi · kidijitali
Muhtasari
- Na Mwandishi Wetu, Dodoma CHUO Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeweka wazi fursa 11 za uwekezaji zinazolenga kutumia ardhi ya chuo hicho kuanzisha miradi mbalimbali kupitia ushirikiano kati ya sekta ya umma na binafsi (PPP).