Bima inasaidia wavuvi kujikinga na majanga kama magonjwa na mabadiliko ya hali ya hewa
Habari mpya za kilimo Tanzania · maelezo ya Bima inasaidia wavuvi kujikinga na majanga kama magonjw… · imesasishwa 10 Aug 2026 · habari za kilimo · wakulima · mazao
Muhtasari
- Amesema kwenye maonesho hayo Kijiji cha Bima kilipokea wageni zaidi ya 4,000 huku wengine wakiwafikia kupitia vyombo vya habari ambapo aliwasihi wananchi kufika katika ofisi mbalimbali za Bima kwaajili ya kupata elimu.
- Marwa amesema NIC pia inatoa elimu kwa wavuvi wanaotumia vizimba na njia za kawaida, ambapo bima inaweza kulinda dhidi ya majanga kama magonjwa na mabadiliko ya hali ya hewa yanayoweza kuua samaki au vifaranga,endapo.
- Tunawasihi sana wananchi wawe na utaratibu wa kulinda shughuli zao za kilimo,ufugaji na uvuvi kwa kukata bima ambazo zitawasaidia pindi wanapokuwa wamepata majanga”,Amesema Isango Kwaupande wake Meneja wa Kanda ya Ziwa.
- Naye Meneja wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Kanda ya Ziwa, Stella Marwa alisema,shirika hilo linatoa bima za ajali na maisha ikiwemo bima ya kilimo inayomkinga mkulima dhidi ya ukame, wadudu, mvua nyingi na majanga.
- Amesema wavuvi wa mitumbwi pia wanapaswa kukata bima kwa ajili ya vyombo vyao na maisha yao, akieleza kuwa injini ya boti ikipata hitilafu mvuvi anaweza kufidiwa.