Barbra Banda Leads WAFCON Top Scorers with Five Goals
Habari mpya za michezo Tanzania · maelezo ya Barbra Banda Leads WAFCON Top Scorers with Five Goals · imesasishwa 10 Aug 2026 · habari za michezo · mechi · matokeo
Muhtasari
- Banda mwenye umri wa miaka 26, ameshazipasia nyavu mara tano, akimzidi moja mshambuliaji wa Ivory Coast, Ines Konan.
- RABAT, Morocco MSHAMBULIAJI wa kati wa timu ya soka ya Taifa ya Wanawake ya Zambia, Barbra Banda, ndiye anayeongoza msimamo wa wafungaji bora msimu huu wa fainali za WAFCON (AFCON ya Wanawake).