Mada zilizoorodheshwa
BIASHARA 2 nukuu · 2 makala · 2 vyanzo

Azania Group's 25-Year Record of Success in Industrial Investment and Job Creation

Habari mpya za biashara Tanzania · maelezo ya Azania Group's 25-Year Record of Success in Industrial… · imesasishwa 3 Aug 2026 · habari za biashara · kampuni · uwekezaji

Muhtasari

  • Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameshiriki katika hafla ya kuadhimisha miaka 25 ya kampuni ya Azania Group tangu kuanzishwa kwake iliyofanyika Agosti mosi 2026 katika ukumbi wa mlimani city Jijini Dar.
  • Kwa kipindi cha robo karne, Azania Group imejijengea rekodi ya mafanikio kupitia uwekezaji katika viwanda, uongezaji wa thamani ya malighafi za ndani, utoaji wa maelfu ya ajira na mchango mkubwa katika mapato ya.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Azania Group's 25-Year Record of Success in Industrial…

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.