AVOAfrica Promises Secure Market for Hass and Fuerte Avocados
Habari mpya za kilimo Tanzania · maelezo ya AVOAfrica Promises Secure Market for Hass and Fuerte Av… · imesasishwa 7 Aug 2026 · habari za kilimo · wakulima · mazao
Muhtasari
- Arusha .Kampuni ya ununuzi wa zao la parachichi aina ya Hass na Fuerte ya AVOAfrica imewataka wakulima katika maeneo yenye hali ya hewa ya baridi kuongeza uzalishaji wa parachichi aina ya Hass (Upele) kwani soko lake ni.
- Getruda amesema kuwa, AVOAfrica imeshiriki maonesho hayo kwa lengo la kuwafikia wakulima, kutoa elimu kuhusu kilimo cha parachichi aina ya Hass na kuwahakikishia soko la uhakika kwa mazao yao.