LALIGA kule Hispania itaendelea kwa mechi moja ambapo Atletico Madrid wao wataanza kampeni yao ya kusaka taji la ligi dhidi ya Malaga ambao ndio wamepanda daraja msimu huu, hivyo hii ni mechi ambayo kila timu inataka kuanza ligi kwa kukusanya pointi tatu.
Tukianza na ligi ya Hispania, LALIGA itaendelea kwa mechi moja ambapo Atletico Madrid wao wataanza kampeni yao ya kusaka taji la ligi dhidi ya Malaga ambao ndio wamepanda daraja msimu huu, hivyo hii ni mechi ambayo kila timu inataka kuanza ligi kwa kukusanya pointi tatu.