Mada zilizoorodheshwa
MICHEZO 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

Arsenal Shifts Focus to Julian Alvarez After Vinicius Jr Decision

Habari mpya za michezo Tanzania · maelezo ya Arsenal Shifts Focus to Julian Alvarez After Vinicius J… · imesasishwa 10 Aug 2026 · habari za michezo · mechi · matokeo

Muhtasari

  • Arsenal walishafikia hatua nzuri kwa Vinicius mwenye umri wa miaka 26 lakini winga huyo alibadili uamuzi na kubaki Santiago Bernabeu.
  • Kama si Alvarez, mchezaji mwingine anayeweza kusajiliwa na Arsenal kuziba pengo la Vinicius Jr ni staa wa PSG raia wa Ufaransa, Bradley Barcola.
  • LONDON, Uingereza ARSENAL imeangukia pua katika mbio zake za kuiwania saini ya Vinicius Jr baada ya Mbrazil huyo kusaini mkataba mpya wa miaka sita katika klabu yake ya Real Madrid.
  • Hivyo, sasa inaelekeza nguvu kwa mshambuliaji wa Atletico Madrid, Julian Alvarez, ambaye pia anawaniwa na mabingwa wa La Liga, Barcelona.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Arsenal Shifts Focus to Julian Alvarez After Vinicius J…

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.