Under the changes, Agrey Mwanri has been appointed CCM Deputy Secretary General for the Mainland, replacing John Mongella.
Agrey Mwandri ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara akichukua nafasi ya John Mongela.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya chama cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Siha, mkoani Kilimanjaro, Mwalimu Meijo Laizer, amempongeza Mkuu wa Mkoa wa zamani, Aggrey Mwanri kufuatia uteuzi wake, wa Naibu katibu mkuu wa chama hicho Bara.