Mada zilizoorodheshwa
CIVIL SOCIETY 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

Almasi Masiya Denies Allegations of Misconduct by Beach Boys

Habari mpya za civil society Tanzania · maelezo ya Almasi Masiya Denies Allegations of Misconduct by Beach… · imesasishwa 10 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo

Muhtasari

  • MWENYEKITI wa Maafisa wa Uokoaji (Beach Boys), Almasi Masiya, amekanusha madai kwamba baadhi ya watoa huduma hao huwafanyia vitendo visivyofaa wanawake wanaokwenda kujifunza kuogelea akisema kazi yao kubwa ni.
  • Kwa mujibu wa Masiya, baadhi ya watu wanaohusishwa na vitendo visivyofaa katika maeneo ya ufukwe si Beach Boys halisi, bali ni watu wanaojitambulisha kwa jina hilo bila kuwa na uhusiano na kundi hilo.
  • Masiya aliyasema hayo wakati akizungumza na Daily News Digital katika ufukwe wa Coco Beach, jijini Dar es Salaam.
  • Kuna watu ambao wanakuja beach ambao sio Beach Boys, lakini wanakuwa na kimo na umri wa vijana wa Beach Boys.
  • Hujifanya ni Beach Boys na kuwachukua wanaohitaji kuogelea na kwenda kuwafanyia vitendo vibaya,” alisema.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Almasi Masiya Denies Allegations of Misconduct by Beach…

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.