Accessibility of Jackpot Participation via Basic Mobile Phones
Habari mpya za biashara Tanzania · maelezo ya Accessibility of Jackpot Participation via Basic Mobile… · imesasishwa 3 Aug 2026 · habari za biashara · kampuni · uwekezaji
Muhtasari
- Meridianbet wakiwa kama wakali wa ubashiri Tanzania wamekuja na Jackpot ya kibabe haswa ya Bilioni 2 ambayo kwa dau la shilingi 500 tuuh unajiweka kwenye nafasi ya washindi.
- Ukiwa na akaunti ya Meridianbet ni rahisi sana kuota ndoto kubwa zaidi na safari hii ni ile Jackpot kubwa kabisa ya Bilioni 2 ambayo ukipatia kwenye mechi zako 14 unajiweka kwenye nafasi kubwa ya kuondoka na mpunga huo.