90-Minute Match Decision for Ngao ya Jamii on Wednesday
Habari mpya za michezo Tanzania · maelezo ya 90-Minute Match Decision for Ngao ya Jamii on Wednesday · imesasishwa 10 Aug 2026 · habari za michezo · mechi · matokeo
Muhtasari
- Mashabiki wengi wanasubiri kwa hamu mechi ya kibabe za Ngao ya Jamii kati ya Yanga dhidi ya Simba itakayopigwa kule Visiwani Zanzibar huku wewe ukiwa na nafasi ya kuondoka na mshindo wa maana.
- Kiwanja cha New Aman Complex kinatarajiwa kuwaka moto siku ya Jumatano ambapo kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka wa Ngao ya Jamii kati ya Simba dhidi ya Yanga ambao wanawania taji hilo la kufungua msimu mpya wa.
- Mechi hii inakutanisha timu mbili ambazo zinanolewa na makocha ambao wanatoka Afrika Kusini hivyo mbinu ndio zinaweza kuamua nani ataibeba Ngao ya Jamii msimu huu.