Serikali ya Tanzania imewapa watengenezaji wa saruji siku nane kuhakikisha upatikanaji wa bidhaa hiyo unaimarika na bei zinashuka, baada ya kuwepo kwa uhaba uliochochea kupanda kwa bei katika baadhi ya maeneo nchini.
The government has given cement manufacturers eight days to reduce prices and improve supplies following weeks of shortages that have pushed the price of a 50-kilogramme bag to as high as Sh26,000 in some retail outlets.