Mhe. Makalla ameyasema hayo wakati akihitimisha Maonesho ya 32 ya Kilimo, Mifugo na Sherehe za Nanenane Kanda ya Kaskazini, yaliyofanyika katika Viwanja vya Themi Njiro, Arusha.
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Ndugu John L. Kayombo, ametembelea baadhi ya mabanda yanayoshiriki Maonesho ya 32 ya Nane Nane Kanda ya Kaskazini yanayofanyika katika viwanja vya Njiro, jijini Arusha.