Mada zilizoorodheshwa
UCHUMI 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

30,000 Job Opportunities from Completion of Kilwa Masoko Fishing Port Project

Habari mpya za uchumi Tanzania · maelezo ya 30,000 Job Opportunities from Completion of Kilwa Masok… · imesasishwa 3 Aug 2026 · habari za uchumi · pato la taifa · uwekezaji

Muhtasari

  • Katika hatua nyingine Waziri Sangu amesema ujenzi wa bandari ya Kilwa ni utekelezaji wa Dira 2050 ambayo inaelekeza sekta binafsi kuchangia ukuaji wa uchumi ambapo serikali inakusudia kuzalisha ajira zaidi ya milioni.
  • Akiwasilisha taarifa ya mradi, Msimamizi wa mradi huo Mhandisi George Kwandu toka Wizara ya Mifugo na Uvuvi amesema ujenzi wa bandari ya uvuvi Kilwa Masoko umefikia asilimia 100 ambapo jumla ya shilingi bilioni 225 kati.
  • Deus Clement Sangu (aliyekaa) akikagua chumba maalum cha Kamera za Usalama na mifumo ya Mawasiliano alipofanya ziara katika Bandari ya Uvuvi iliyopo Kilwa Masoko, Mkoani Lindi Wakati wa Ziara ya Kikazi ya ukaguzi wa.
  • OWM (KAM) – Kilwa, Lindi Vijana mkoani Lindi amewahimiza kuchangamkia fursa zitakazotokana na kukamilika kwa Mradi wa Kimkakati wa Bandari ya Uvuvi ya Kilwa Masoko ikiwemo ajira, biashara na masoko ya mazao ya uvuvi.
  • Deus Sangu wakati akizungumza na wananchi wa Kilwa Masoko mara baada ya kukagua mradi wa ujenzi wa bandari ya uvuvi iliyojengwa na serikali.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: 30,000 Job Opportunities from Completion of Kilwa Masok…

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.