Misa hiyo inafanyika leo katika Kanisa Kuu la Kristu Mfalme, Jimbo Katoliki la Moshi, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 25 tangu Askofu Minde alipowekwa wakfu kuwa askofu.
Amesema safari ya Askofu Minde ni ushuhuda wa namna huduma ya kichungaji inavyoweza kuacha alama katika maisha ya waamini na jamii kwa ujumla.