Serikali tayari imetoa Sh milioni 250 kwa ajili ya kuanza ujenzi huo na imetenga shilingi milioni 250 nyingine kupitia bajeti ya mwaka wa fedha 2026/27 ili kukamilisha mradi huo.
Waziri Dkt. Ashatu pia aliweka jiwe la msingi la ujenzi wa Kituo cha Afya Nyakakika na kueleza kuwa Serikali tayari imetoa shilingi milioni 250 kuanza ujenzi huo, huku shilingi milioni 250 nyingine zikitengwa kupitia bajeti ya mwaka wa fedha 2026/27 ili kukamilisha mradi huo.