25 Computers Provided to Katale Secondary School for ICT Education
Habari mpya za elimu Tanzania · maelezo ya 25 Computers Provided to Katale Secondary School for IC… · imesasishwa 8 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo
Muhtasari
- Nuru ya matumaini imewaangazia wanafunzi wa shule ya sekondari Katale iliyopo Wilaya ya Bukoba mkoani Kagera, baada ya kupatiwa kompyuta 25 zitakazowawezesha kujifunza na kutumia teknolojia katika masomo yao.