Mada zilizoorodheshwa
NISHATI 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

180 Call Center Service Improvement by TANESCO

Habari mpya za nishati Tanzania · maelezo ya 180 Call Center Service Improvement by TANESCO · imesasishwa 9 Aug 2026 · habari za nishati · umeme

Muhtasari

  • Abdul Kazi, mkazi wa Kigamboni jijini Dar es Salaam, akiwa ni mteja wa huduma na bidhaa za TANESCO kwa miaka zaidi ya 30, ni miongoni mwa wanaovutiwa na ubunifu huo wa huduma ya kupiga simu bila malipo, akisema umekuwa.
  • Kwa sasa, kama umetumia huduma hiyo ya kupiga simu TANESCO (bure kwa namba 180), tunaweza kukubaliana kuwa Shirika limefanikiwa kwa asilimia zaidi ya 90 kusafisha na kuondosha vitendo vya aina hiyo.
  • Na Hassan Mwasha, Gazetini SHIRIKA la Ugavi wa Umeme nchini (TANESCO) lina mengi ya kujivunia katika miaka ya hivi karibuni lakini kubwa zaidi ni uboreshaji wa Kituo cha Miito ya Simu (Call Center).

Nukuu za habari mpya na vyanzo: 180 Call Center Service Improvement by TANESCO

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.