mradi huo unaotekelezwa kwenye Kata ya Muriet kwa gharama ya shilingi Bilioni 14.3, fedha kutoka Serikali kuu.
Waziri wa Kilimo na Mlezi wa Kiserikali wa Mkoa wa Arusha Mhe. Daniel Godfrey Chongolo amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia kutoa Jumla ya Shilingi 14, 317, 331, 493.00 kwaajili ya Ujenzi wa mradi wa Kituo Kikuu cha Mabasi Jiji la Arusha.